T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,782
- 46,601
France wachezaji wengi wanaleta ubishoo. Kwa upande wa Spain bishoo ni Lamine pekee. Wafaransa badala wapige pasi na krosi za uhakika wanapiga kwa mbwembwe.
Ngoja tuoneMara nyingi comeback Huwa zinakujaga kipindi Cha pili.
Wakitoka kwa Mbappe watahamia kwa Bellingham au Kane kwa masaa 24 halafu fainali watajilazimisha kuishabikia Spain maana hawaipendiWatahama team zote,Messi akisha chukua kombe watahamia kuitukana FIFA.
Hayupo accurate na goli kwenye nafasi tano anaweza kosa zoteBarcola sio wakuanza
Hawatoboi hapo...! Wamezidiwa kwenye defending muda utasemaFrance nipo nanyi katika mvua na jua.
Mechi bado iko mikononi mwenu
Ni mzuri akitokea benchHayupo accurate na goli kwenye nafasi tano anaweza kosa zote
Unazungumzia ile mechi ya Simba vs Yanga? Au ile ya Yanga vs AzamKipindi Cha kwanza tuliwaacha Spain wacheze Ili kuusoma mchezo. Kipindi Cha pili ndio kipindi Cha mauwaji.