Sioni ufaransa wakienda popote labda iwe bahati tuWanaharibiana wakicheza walivyocheza first half.
Ana kadi ya njano hayupo huru kwasababu ya kuogopa faulo.Olise siye yule tunayemjua
France kocha ni kama kaacha wachezaji wake wamletee ustaa. Hawana mfumo wanajichezea wanavyotaka.Spain kocha wanae, huyu wa France hamna kitu
Siku ngumuOlise siye yule tunayemjua
Olise arudi kati huyu kocha kumbe mmachame tuAsèe
Wapo vizuri kabisa Ufaransa sema wamekutana na mafundiUfaransa imekunywa nini leo mbona wako disorganized sana
Sahihi kabisa. Disorganized, lazy, poor decision, weak control. Yaani hachomoi leo. Ila ile penalty sijaielewaDalili zote zinaonyesha Ufaransa anapotezwa
Bahati huwa anakuwa nayo akiingia sub sio alianza.Barcola out