Issue alio report Molina imewavua Nguo Argentina na FIFA wekeni ushabiki pembeni
- Siku 9 kabla ya fainali world cup 2022 shirkisho la Argentina liliwapa haki za kibiashara kampuni ya Kitalii ya Miami, na kuwapa mapato ya timu ya Taifa.
- kampuni hio ilikua na umri wa miezi mitatu Tu, aka ilitengenezwa Muda mfupi kabla ya world cup.
- hela kutoka FIFA zaidi ya Bilioni 100, hela za Conmebol zaidi ya Bilioni 24 na hela nyengine mbalimbali toka kwa wadhamini zilipita moja moja kwenda hio kampuni ya Utalii, Chama cha soka cha Argentina hakikupokea.
- hio kampuni ikasambaza hizo hela kwenye haven mbalimbali Duniani kama Monaco, Virginia island etc
Hebu nieleze kama mtoto mdogo vile, why hela za shirkisho la Argentina zote zisiwekwe shirkisho Lao zitakatishwe Dunia nzima na FIFA wakishiriki?
Bado Molina anaendelea kutujuza tupo tunasubiria.
Wanaotaka ushahidi wa video Molina akielezea huu hapa, masaa 4 yaliyopita hii habari kaitoa.
View: https://m.youtube.com/watch?v=H6eUiFtYN84