Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 3,412
- 9,058
ShesRise_1 leo unaruka na yupi au unasubiri goli kutoka upande wowote
Dah!!Baba yake Messi ameonekana
View attachment 3627369
Yoyote yule fresh hapo sina team ila ningependa uingereza laana ya babu zetu iambatane nao leoShesRise_1 leo unaruka na yupi au unasubiri goli kutoka upande wowote
Unacheki ball?
Unasema fifa inahusishwa alafu hapo hapo FBI wao hawajaihusisha. Inahusishwa na nani? Uchunguzi wa awali wa FBI si lazima ungeihusisha fifa sababu walifanya hayo malipo?FBI ipo kwenye hatua ya awali ya uchunguzi (preliminary investigation) na kulingana na taarifa zilizochapishwa na lile gazeti Nancion (sina hakika na spelling zake)
Gazeti hilo lilidai kuwa FBI ipo kwenye hatua ya kukusanya ushahidi kuhusu viongozi wa AFA na uhusiano wa kampuni ya TourprodEnter LLC iliyopo Marekani.
Kinachofanya FIFA waingie kwenye huu msala ni kutokana na tuhuma za utakatishaji fedha ambao unamkabili Raisi wa AFA na wenzake.
Hizo pesa zinawa link FIFA kwasababu wao ndio waliokuwa wahusika kwenye kutuma hizo pesa ambapo walitakiwa wazitume kwenye account rasmi ya AFA kule Argentina.
Badala yake zikatumwa kwenye account ya TourprodEnter LLC.
Kwanini FIFA inahusishwa? FIFA ndio mwenye mamlaka ya utoaji na uidhinishaji wa malipo au zawadi kwa washindi.
Na kisheria FIFA ina idaranya ukaguzi ambayo inalazimika kuzuia fedha kwenda kwenye account binafsi au taasisi isiyoeleweka.
Sasa pamoja na hayo bado FIFA walisaini na kuidhinisha hayo malipo.
FIFA haiishii tu hapo kwenye kulipa haya mashirikisho pesa za ushindi na zawadi, FIFA pia wana mandatenya kukagua hesabu na matumizi ya hayo mashirikisho ambayo yapo chini yake.
Na kingine kikubwa zaidi ambacho kinampa title Romain Molina ni uchunguzi wa kashfa za unyanyasaji wa kijinsia.
Mmoja wa makocha wa zamani wa bijana aliwahi kushtakiwa kwa unyanyasaji na wachezaji kadhaa lakini FIFA walifunga jalada la kesi hii bila kuchukuliwa hatua huyo muhusika kwa madai ya kwamba hakuna ushahidi wa kutosha.
Unaikumbuka ile kashfa ya FIFA Gate ya 2015?
Pattern zake jinsi ilivyoanza inafanana kabisa na hi sakata.
Ngoja mpaka mtu aliwe kichwa ndio mtaamini.
Ndiyo, Ndomana nasema England anarejea kijijini leo.Unacheki ball?
Nimetoka kukuuliza who is Molina? Sababu hii issue imeandikwa sana na media za kila aina, huko Argentina kuanzia media mpaka wachezaji wastaafu kama Tevez waliikomalia sana. So kipi special kwa sasa kwa Molina? Uko mwaka wa nyuma?We subiria Molina aendelee Kutoa habari, huwezi mfananisha Molina na hivyo vijarida, unaweza ukauweka ushahidi hapa hizo hela zimeingia kwenye Mali za viongozi wa AFA
Molina ni reliable kuliko chombo chochote kile cha habari cha michezo, ni Julian Asange wa Mpira, scandal karibia zote kubwa yeye ndio whistleblower, ana reports kwa mamia zikiwa na accuracy kubwa mno.Who is Molina? Hiyo habari sio mpya ni ya muda mrefu. Huyo raisi wa chama cha soka hata huko kwao Argentina hawamtaki Tena sababu ya ufisadi.
Wanaochunguza ni FBI
Habari ni ya muda mrefu kama umeijua Leo nakupa pole
View attachment 3627338
View attachment 3627339