Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 36,846
- 49,276
Baba yake Messi ana uhusiano gani na shirikisho la soka la Argentina?..Watu wanaona matukio, kwenye hii kesi sidhani kama Baba yake Messi atatoka.
Baba yake Messi ana uhusiano gani na shirikisho la soka la Argentina?..Watu wanaona matukio, kwenye hii kesi sidhani kama Baba yake Messi atatoka.
Baba yake Messi ana uhusiano gani na shirikisho la soka la Argentina?..
Nyie jamaa mmehamia Sasa kwenye nadharia njama.
Unaweza kuniambia kwanini Gianni Infantino aliteseka pamoja na mashabiki wa Argentina wakati wa mechi dhidi ya Cape Verde?Nyie jamaa mmehamia Sasa kwenye nadharia njama.
Kwa Mafanikio ya Soka aliyonayo Messi hawezi kukosa 'haters' hasa mashabiki wa timu alizozifunga.
Hakuteseka bhana alafu Infantino kahudhuria mechi nyingi tu za kombe la Dunia na huko kaonyesha 'reaction' za hapa na pale ila nyie 'Messi haters' mmeamua tu kukomaa na hizo nadharia njama.Unaweza kuniambia kwanini Gianni Infantino aliteseka pamoja na mashabiki wa Argentina wakati wa mechi dhidi ya Cape Verde?
Kwa hiyo unampinga kuwa hakusema hata kwa kauli zake mwenyewe?Hakuteseka bhana alafu Infantino kahudhuria mechi nyingi tu za kombe la Dunia na huko kaonyesha 'reaction' za hapa na pale ila nyie 'Messi haters' mmeamua tu kukomaa na hizo nadharia njama.
Hizo kauli ni sehemu ya mtazamo wake tu kama mdau wa soka sio ushahidi unaojitosheleza...Kwa hiyo unampinga kuwa hakusema hata kwa kauli zake mwenyewe?
Vp wajukuu wa Mfalme Charles unawapa nafasi leo?..Kwa hiyo unampinga kuwa hakusema hata kwa kauli zake mwenyewe?
Honestly sijawahi kufurahishwa na performance ya Norway jinsi inavyocheza.Vp wajukuu wa Mfalme Charles unawapa nafasi leo?..
Mashabiki wa Ronaldo wapo kama mashabiki wa Simba wana akili finyu sana. Na huyo scar ni shabiki wa simba pia, simba wanaamini kila mechi yanga anayoshinda kanunua mechi. Hadi ile mechi na Beruizidad wanaamini yanga walininua. Aisee. Their stupidity is UncontestedYaani huwa nashangaa haters kwa kusema Messi anabebwa. Yaani wanafikiri uwezo alionao ni mdogo.
Wanaabudu uwezo mkubwa wa CR7.Alafu angalia Ronaldo kamzidi nini Messi zaidi ya umri,mechi nyingi,na magoli 57 kwenye tofauti ya mechi 130+
Na UEFA 1
Yaani ubebwe na FIFA kwenye career yako na FIFA wakupe magoli 920+, Huna uwezo hata kidogo, Ballon D'or 8 bila kuonyesha chochote uwanjani. Uongoze tuzo za ufungaji bora Bara la ulaya na haujui lolote.
World cup under 20 na World cup 2022 zote upewe wewe tu bila kuwa na uwezo wowote.
Wivu ukizidi unakuwa uchawi. Kam hizo data zote ni za kuoewa na FIFA naamini Messi ana uwezo mdogo sana na CR7 ni bora zaidi.
DahReports says he entered his bathroom closed the door and hanged himself😭💔View attachment 3627226
Tukutane tarehe 14 saa nne usiku hapa ndo utaelewa ...Wana bahati au wamepiga mpira?