2022 pia alipangwa na vibonde sio? Ufaransa wenu iliyojaza wageni tukawabutua hahaaaaMessi kapangwa na vibonde na bado vinampelekea moto
Na mda umeenda sanaLefa amalize mpira watu tunaishi mbali
France hua ni kibonde kwa SpainKwa hili balaa la Spain basi France ajipange vizuri asikae kizembe
Wanajua kiongozi unaambiwa France mudaa huu wapo wanafanya hesabu ya kutafuta thamani ya X ili kumfunga spainKwa hili balaa la Spain basi France ajipange vizuri asikae kizembe
Hawa Jamaa Wana attack mechi ijayo Itakuwa na magoli sanaNarudia tena msiwachukulie poa Spain.
Da'Vinci hebu waambie hawa, pia wakumbushe record ya H2HNarudia tena msiwachukulie poa Spain.
Halafu anapenda kulalamika lalamika sana kuwa kuna upendeleoMm napenda mpira by the way Ronaldo is too childish
napenda uchezaji wa kdb