Ufaransa tunaenda kuwabonda warudi kwao congo n.k😄Wafungwe tu
Mechi yote wanachezea mpira chooni wapuuzi sana
Wapaki basi wapigweSpain wanapaswa kufanya offensive. Kukaa na mpira. Uwezo huo wanao. Hawahitaji kushambulia tena.
Mm napenda mpira by the way Ronaldo is too childishWewe ronaldo fan sio?
Mimi pia naipenda belgium ila spain naipenda zaidi
HaiwezekaniKiutani utani mara ngoma inaenda ET
Nani atapata hilo goli?Hii Game ina goli lingine Moja