Tukuletee miwani mkuu…Dah nilifikiria ndani
Kila mkubwa ana mkubwa wake.Nashangaa mbona wana mpira wa hovyo hivi imekuaje wakafika huku?
Kila Kazi ina fundi wakeSoka lina heshima yake aiseeh, hawa ndo Morocco waliosumbua Brazil? Wako kama Gwambina FC ya Misungwi😅😅😅
Misri ni wakali saana kuliko hawa jamaaKila mkubwa ana mkubwa wake.
😂😂Naona kabisa Mbappe anaenda kubeba hii wolrd cup... afu Ufaransa inaenda kuweka record ya kucheza final tatu za world cup mfululizo
Hii record ilikua inashikiliwa na Brazil
Spain atacheza na England 3rd place play-off, mshindi ni SpainNimekueleza Argentina na France ni vibonde kwa spain bwashee hii hesabu ya kutafuta thamani ya X mbona nyepesi
Huo ni mtazamo wako na tunaheshimuMisri ni wakali saana kuliko hawa jamaa
Since day one !Vizuri team France