ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,993
- 40,149
Gudubaiiiii Morocco
Argentina hawezi kubeba ubingwa mbele ya spainNAWAKUMBUSHA tena Fainali
Argentina vs Spain
Argentina anabeba WC 🏆 back to back
Hutaki muulize penaldo akuambie kwanini anamheshimu the GOAT MESSI 🐐
Mnaanza kuchambua kunde sasa sio mpiraScale 1/10 nampa 7
Unajua kwanini?
Kwasababu ya pressure ya wakosoaji, hawa waliwekwa kimkakati ili kuja kuzima hizi kelele.
So next game Argentina akifanya robbery tuonekane critics hatuna hoja kwasababu kuna game ya France waamuzi walichezesha fair.
Na baadhi ya matukio walionekana kuipendelea France (kabla ya faulo iliyozaa penati kulikuwa na faulo waliyofanya France kabla ya pasi haijamfikia Olise)
So ukiunga dots unaweza kupata concept kwamba kwanini baada ya game ya Egypt na Argentina kulalamikiwa kuwa waamuzi wanaipendelea Argentina lakini bado waamuzi wa mechi ya France wote wametoka nchi ya Argentina?
Ni mkakati wa kujisafisha nothing else.
Asante Sana Mhindi, salio limesoma.Natafuta wakuBET nae hapa hapa. Maana nayaona magoli mawili tuu katika dk90
Kivipi?W
Mnaanza kuchambua kunde sasa sio mpira
Itakuwa ni rekodi ya Brazil na Germany.Naona kabisa Mbappe anaenda kubeba hii wolrd cup... afu Ufaransa inaenda kuweka record ya kucheza final tatu za world cup mfululizo
Hii record ilikua inashikiliwa na Brazil
Hopefully, he'll have a better ending next time.Not the happy ending he hoped for
View attachment 3626093
I'm not sure if Yamal is his favourite playerHopefully, he'll have a better ending next time.
😁😁😁unajitahd sana kutengeneza hoja za kipuuzi👐👐Scale 1/10 nampa 7
Unajua kwanini?
Kwasababu ya pressure ya wakosoaji, hawa waliwekwa kimkakati ili kuja kuzima hizi kelele.
So next game Argentina akifanya robbery tuonekane critics hatuna hoja kwasababu kuna game ya France waamuzi walichezesha fair.
Na baadhi ya matukio walionekana kuipendelea France (kabla ya faulo iliyozaa penati kulikuwa na faulo waliyofanya France kabla ya pasi haijamfikia Olise)
So ukiunga dots unaweza kupata concept kwamba kwanini baada ya game ya Egypt na Argentina kulalamikiwa kuwa waamuzi wanaipendelea Argentina lakini bado waamuzi wa mechi ya France wote wametoka nchi ya Argentina?
Ni mkakati wa kujisafisha nothing else.
Unahama chapu hatuna muda wa kupoteza 😂😂Na badooo!
Unashabikia mpira kwa kigezo cha dini/ukanda/bara , kwanini usinyooshwe?
Timu yako ikifungwa haraka sana unahamia nyingine. No attachment no emotions
Huyu ni nani tena 😀