2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Scars ebu tupe mtazamo wako kuhusu performance ya refa muArgentina kwa hz dk 80
Scale 1/10 nampa 7

Unajua kwanini?

Kwasababu ya pressure ya wakosoaji, hawa waliwekwa kimkakati ili kuja kuzima hizi kelele.

So next game Argentina akifanya robbery tuonekane critics hatuna hoja kwasababu kuna game ya France waamuzi walichezesha fair.

Na baadhi ya matukio walionekana kuipendelea France (kabla ya faulo iliyozaa penati kulikuwa na faulo waliyofanya France kabla ya pasi haijamfikia Olise)

So ukiunga dots unaweza kupata concept kwamba kwanini baada ya game ya Egypt na Argentina kulalamikiwa kuwa waamuzi wanaipendelea Argentina lakini bado waamuzi wa mechi ya France wote wametoka nchi ya Argentina?

Ni mkakati wa kujisafisha nothing else.
 
Back
Top Bottom