2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Mimi sina ushabiki, sio mfuasi wa ronaldo wala mesi. Na timu yangu ya senegali ilishatoka. Ila kiuhalisia kinacholaumiwa ni VAR, inshu sio kuwa na uhalali au kutokuwa na uhalali wa tukio husika inshu ni kwanini refa hakujisumbua hata kwenda kwenye VAR ??. na tukio kama hilohilo na mechi hiyohiyo ila refa kakimbilia VAR kwa spidi ya mwanga tena bila kuzongwazongwa na wachezaji wa argentina

Misri siwapendi kabisa, ila tukiweka ushabiki wowote pembeni , Iyo game Argentina alibebwa.
Kwenye tukio gani?
 
Nasimama na France

1783627233008.png
 
Back
Top Bottom