2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Timu nyingine muda kama huu tayari refa alikuwa amechanganyikiwa.

Mashabiki wao washabana sana makagali na hawaona dalili ya ushindi.

Mchezaji wao pendwa muda wote anaangalia VVIP anafanya eye contact kuomba msaada kwa Baba yake.

Huu ulikuwa ni muda ambao hata Gianni Infantino alipagawa hajui anawasaidiaje na hela za watu ashakula.

Then mtu anafunga bao halafu eti wamisri wanasema kuna faulo iliyostahili penati. Hivi hata ungekuwa wewe ndio refa au Infantino katika mazingira hayo nani ungekuwa na muda kweli wa kuifikiria penati?

Tuwe tu wakweli.
 
Morocco komaa , unapigwaje kizembe...? Komaa kiume 🤣🤣🤣

images
 
Back
Top Bottom