Ila wakakutana na mkali waoMisri ni wakali saana kuliko hawa jamaa
Huyo mgalatia anaboa sana.Wewe mlokole sasa unataka kuvuruga, tutaruka na wewe
Mimi kobaz na nasimama na France weusi
Kaa kwa kutulia
Safari ya France inaelekea tamati kiongoziSpain atacheza na England 3rd place play-off, mshindi ni Spain
Naona utakua umenielewa
Final ni France v Argentina, Argentina anachukua tena ndoo
Chukua barafu hapo kwa mangi kisha lipa mwenyewe
Sio rahisi kihivyoNaona kabisa Mbappe anaenda kubeba hii wolrd cup... afu Ufaransa inaenda kuweka record ya kucheza final tatu za world cup mfululizo
Hii record ilikua inashikiliwa na Brazil
Weka no yako nikutumie aftatu ununue shodaHii tumelala yoooh
Ulikuwa too ambitious, Kama ungenyoosha mkeka na 2 ,Kuna mtu
Anapigwa si chini ya bao 3..
Majeraha madogo tu.Mbape kama majeraha yake yakimweka nje hata wiki itakuwa bonge la pigo kwa Ufaransa.
Mpira unamambo ya kijinga pale baada ya uchukuzi ukasikia mwezi.Majeraha madogo tu.
Ametolewa ili kumlnda