moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,368
- 775,926
Ulisemaje ?Nilisema mimi..😀
Ulisemaje ?Nilisema mimi..😀
Nenda kalale sasa hahahaSasa nashabikia Ufaransa, Ufaransa pigeni la pili nikalale
Mimi original timu zangu ni Brazil na Germany waafrika kama bonus.Bila shaka ulianza mashindano ukiwa shabiki wa ngamia
Taratibu bwashe kesho kumbuka kuwahi kaziniMorocco nawakataa kuanzia sasa makende nyie
Mda wa kulala huu sidhani kama kuna cha maana tena hapaDk 67
Hydration Break
Kabisa hawa ndio mabingwa watarajiwaWanetu Morocco hatuna deni na nyie, leo mmekutana na timu bora ya mashindano
Atapigwa achakaeTumewaambia...
Morocco leo inachakaa..
Tulia dawa iingieNiende wapi?
Nacheki ball mkuu
Sante sana kwa mwongozo !La tano