Bila shaka ulianza mashindano ukiwa shabiki wa ngamiaKuanzia sasa mpaka kombe la Dunia lote linaisha Mimi ni mfaransa maana hakuna timu yangu iliyobaki wala Afrika
HatukutakiiiiiKuanzia sasa mpaka kombe la Dunia lote linaisha Mimi ni mfaransa maana hakuna timu yangu iliyobaki wala Afrika
Ulisemaje ?Nilisema mimi..😀
Nenda kalale sasa hahahaSasa nashabikia Ufaransa, Ufaransa pigeni la pili nikalale