Hawa jamaa leo hovyo kabisa...ile kona fupi wakaiche,ea haya hii nayo wamepiga wanavyojua wao.Daaa amepiga kona kama anaokoa
Spain 🇪🇸Kabla sijaenda kulala nataka kujua France tunaweza kukutana nusu Fainal na Argentina tulipe kisasi mapema ?
Tayari
Kuanzia sasa moroko wanatepeta na zinaiingia zingine
Tumumbushe Ulisemaje ?
Hahaha km walivyofika hio hatua ndio wanavyotoka kwenye hio hatuaHawa Morocco walifikaje hii hatua..?🙄
Wanakatisha tamaa hawa...bora timu zote za Africa zitoke tu sasaMorocco nawakataa kuanzia sasa makende nyie
Wanacheza kijinga Sana LeoWanakatisha tamaa hawa...bora timu zote za Africa zitoke tu sasa
Mpira ndio umeanza kuangalia leoHawa Morocco walifikaje hii hatua..?🙄
Vizuri team France