herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 2,305
- 3,990
Daaah👐👐👐
Tuone nini broNgoja tuone
Amen and amen..Sitengui kauli, Morocco anapigwa 3 leo..
Toka mamluki 🤣Sasa nashabikia Ufaransa, Ufaransa pigeni la pili nikalale
Mimi nawaombea Morocco wafungwe goli sio zaidi ya 3 yaan goli 3 tu zinawatosha maana wameshafungasha mabegi wasije wakafungwa 4 mabegi yakawa mazito kubebaNilisema mimi..😀
Kwanza tunashangilia kilichopatikana.Dakika 90
Wanawake mnamahaba yaliyopitiliza kwa Mbappe , kombe la Dunia lililopita Kuna pisi nimesoma nae Advance alikuwa anamPost sana Mbappe kumsifia mpaka nikawa nashikwa na wivu nikaanza kuchukia sasaMwanaume machine kafunga goriiii taamu 🔥🔥🔥
Ni sahihi..Nusu fainali tunataka watu wanaojitambua, ufaransa nitolee UCHAFU huo