adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,786
- 37,807
Wanawake mnamahaba yaliyopitiliza kwa Mbappe , kombe la Dunia lililopita Kuna pisi nimesoma nae Advance alikuwa anamPost sana Mbappe kumsifia mpaka nikawa nashikwa na wivu nikaanza kuchukia sasaMwanaume machine kafunga goriiii taamu 🔥🔥🔥