2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Ngoja nilale, kesho nakesha na spain na England
1000059156.jpg
 
Kwa kewli ufaransa hii mechinakipoteza atajilaumu mnoooo.
Hawa waarabu leo ni kujibonyezea kizenji tuu mdebwedo.

Jambo moja france wamenifurahisha ni kuwa wamwjua bono akipiga mpira anawapatia wapinzani kapiga mipira minne yote wapinzani wanapokea tuu.

Haya hawa jamaa wanapata fk wanapiga mpira nje unabaki unashanga....inakuwa kama tunaangalia nbc bwana.

Ila hawa france wanawezapata goli kwenye set piece...kila mpira wa kwanza wanapata wao
Bono ni kipa na leo yuko kweny form
 
Mkuu uko vizuri hadi set peace unajua
 
Huyo nae ndumila kuwili alitangaza yeye ni england ila mpaka sasa bado haimini kabisa
Siku Argentina anacheza wa
Argentina tulikua wawili tu
time mach inaendelea Misri wakiwa mbele kwa bao mbili kuna mtu aliniambie nikauze maandazi

Ila kuanzia dakk ya 70 kwenda juu gafla watu walianza kunywea kama unyoya uliomwagiwa maji

Na kuanza kuiilaani Africa
 
Mkuu uko vizuri hadi set peace unajua
Najua mkuu ukiondoa mbususu mpira ndio ulevi wangu.

Wee angalia kwenye kona fk nani anagusi mpira kwanza, ukiona mtu mara kadhaa anapata first contact yeye ujue kuna uwezekano atapata goli.

Morocco anapata fk anapiga nje wakati ukiitumia vizuri unamweka mpinzani under pressure.

Hapa moro ata mpira wakurusha wanapoteza..yale yale ya egypt. Kipindi cha pili alipata throwins 8 2 tuu ndio aliwe,a endeleza umiliki wa mpira zingine arge tina wana bukua mpira alafu unafungwa unaanza sema fifa anapendelea🤣🤣🤣.
 
Back
Top Bottom