Kwa hiki kiwango chake mkuu!AS Roma timu ndogo babu?
HahahaSalah matako yk
Hakimi Leo kama kala nyetoh
HahahaHow i sleep knowing Ronaldo is out of the World Cup View attachment 3626051
Hata mimi naona, morocco imekua ya kuzuia kweli, mashambulizi hatuyaoni.... sijui kama hawakuuza mechi hawa... hata furaha ya kuangalia imepoteaHata Mimi inanikatisha tamaa kama haipo mchezoni vile , kwa style hii sidhani kama atatoboa leo
Anachez familia yakeMshindi wa Kombe la Dunia la mwaka 2018 pale Urusi, Antoine Griezmann yupo jukwaani
France akishinda dunia yote inafurahi🤣Tupo hapa
😃😃😃Akikosa Mbappe sawa ila akikosa anko nzala kelele mingi yaani…
France anapeta Morocco akafunge mabegi tuMarefa wa Argentina baada ya kuona ukosoaji umekuwa mwingi mtandaoni wamejifanya kuchezesha bila kuikanyagia France ili kubalansi.
Nigga better keep going with that consistency cause if he plays dirt we'll always say what we used to.
Wana uhakika wa milo mitatu bila shaka yoyoteAnachez familia yake