Quality ya Leo afadhali tofauti na mechi iliyopita na soccer naienjoy safi tu kwa hisani y TBCSerious TBC dah toka kwa shemeji aisee hivi mbape una muona
Au unamuona kwa mbali sana🤣
Kujuana na naniMnajuana?
HongeraQuality ya Leo afadhali tofauti na mechi iliyopita na soccer naienjoy safi tu kwa hisani y TBC
Kwenye picha ya chini kuna scraper naiona hapo ila siitajiNgoja nilale, kesho nakesha na spain na England View attachment 3626059
Ngoja tuone mwisho wake ulivyoBono ni kipa na leo yuko kweny form
Leo kama hayuko mchezoni hiviMbappe vipi
Goli haliko mbaliMorocco akifungwa mbili tu naenda kulala
Tangu umeanza kucheki hii game morocco ana shot on target ngapi?Hongera