2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Huyo nae ndumila kuwili alitangaza yeye ni england ila mpaka sasa bado haimini kabisa
Siku Argentina anacheza wa
Argentina tulikua wawili tu
time mach inaendelea Misri wakiwa mbele kwa bao mbili kuna mtu aliniambie nikauze maandazi

Ila kuanzia dakk ya 70 kwenda juu gafla watu walianza kunywea kama unyoya uliomwagiwa maji

Na kuanza kuiilaani Africa
 
Mkuu uko vizuri hadi set peace unajua
Najua mkuu ukiondoa mbususu mpira ndio ulevi wangu.

Wee angalia kwenye kona fk nani anagusi mpira kwanza, ukiona mtu mara kadhaa anapata first contact yeye ujue kuna uwezekano atapata goli.

Morocco anapata fk anapiga nje wakati ukiitumia vizuri unamweka mpinzani under pressure.

Hapa moro ata mpira wakurusha wanapoteza..yale yale ya egypt. Kipindi cha pili alipata throwins 8 2 tuu ndio aliwe,a endeleza umiliki wa mpira zingine arge tina wana bukua mpira alafu unafungwa unaanza sema fifa anapendelea🤣🤣🤣.
 
Umetoka kwa shemeji yako au nilete kiboko🤣
Nipo peke yangu sebuleni na TBC nilikuwa na ndugu zake shemeji wameenda kulala sasa nimebaki peke yangu nacheki gemu 🤣

Kombe la Dunia likiisha ndio natoka kwa shemeji
IMG_20260710_000254.jpg
 
Nipo peke yangu sebuleni na TBC nilikuwa na ndugu zake shemeji wameenda kulala sasa nimebaki peke yangu nacheki gemu 🤣

Kombe la Dunia likiisha ndio natoka kwa shemeji View attachment 3626061
Serious TBC dah toka kwa shemeji aisee hivi mbape una muona

Au unamuona kwa mbali sana🤣
 
Siku Argentina anacheza wa
Argentina tulikua wawili tu
time mach inaendelea Misri wakiwa mbele kwa bao mbili kuna mtu aliniambie nikauze maandazi

Ila kuanzia dakk ya 70 kwenda juu gafla watu walianza kunywea kama unyoya uliomwagiwa maji

Na kuanza kuiilaani Africa
Walikua wanatetea ndoa zao kwa cr7 tangu 2006 mpaka 2026 haijui fainal ya word cup ina radha gani
 
Kuna dalili naziona kwenye hii mechi

Na haya ni mambo ambayo yanaweza kutokea.

Kufuatia pressure ya wakosoaji mitandaoni baada ya hawa waamuzi kutoka taifa moja la Argentina ina weza kuwa na mambo mawili.

Jambo la kwanza: Hawa marefa wanaweza kuwa walichaguliwa kimkakati ili waje wafanye maamuzi yatayo mnufaisha France ili baadaye ije ionekane France wamesaidiwa au kubebwa na marefa wa Argentina.

Mbinu hii itaenda moja kwa moja kuisafisha FIFA dhidi ya tuhuma nyingi ambazo imekuwa ikihusishwa pamoja na upendeleo wa wazi ambao Argentina wamekuwa wakiupata kwenye mechi zao.

Hii inaweza kufanya Morroco pia waanze kuichukia France na kusema ilibebwa, na automatically ule mjadala wa FIFA na Argentina hautakuwepo
giphy (8).gif

Jambo la pili ambalo nalifikiria ni kwamba Refa wanaweza kutoa maamuzi ndivyo sivyo kwenye matukio ambayo yatakuwa wameiminya Morroco ili critics wakose cha kusema.

Halafu baadaye waje na comeback ya kuja na maamuzi ya kuja kuinyonga France ili tukose kauli ya kusema waamuzi wanainyonga France kulingana na matukio ya mwanzo yaliyokuwa yameamuliwa kwa namna inayompa advantage France.

Katika haya mawili tegemea moja.

Sehemu yeyote ambayo itakuwa na utata nitakuwa naweka vi-clips.
 
Kuna dalili naziona kwenye hii mechi

Na haya ni mambo ambayo yanaweza kutokea.

Kufuatia pressure ya wakosoaji mitandaoni baada ya hawa waamuzi kutoka taifa moja la Argentina ina weza kuwa na mambo mawili.

Jambo la kwanza: Hawa marefa wanaweza kuwa walichaguliwa kimkakati ili waje wafanye maamuzi yatayo mnufaisha France ili baadaye ije ionekane France wamesaidiwa au kubebwa na marefa wa Argentina.

Mbinu hii itaenda moja kwa moja kuisafisha FIFA dhidi ya tuhuma nyingi ambazo imekuwa ikihusishwa pamoja na upendeleo wa wazi ambao Argentina wamekuwa wakiupata kwenye mechi zao.

Hii inaweza kufanya Morroco pia waanze kuichukia France na kusema ilibebwa, na automatically ule mjadala wa FIFA na Argentina hautakuwepoView attachment 3626063

Jambo la pili ambalo nalifikiria ni kwamba Refa wanaweza kutoa maamuzi ndivyo sivyo kwenye matukio ambayo yatakuwa wameiminya Morroco ili critics wakose cha kusema.

Halafu baadaye waje na comeback ya kuja na maamuzi ya kuja kuinyonga France ili tukose kauli ya kusema waamuzi wanainyonga France kulingana na matukio ya mwanzo yaliyokuwa yameamuliwa kwa namna inayompa advantage France.

Katika haya mawili tegemea moja.

Sehemu yeyote ambayo itakuwa na utata nitakuwa naweka vi-clips.
Nimekuelewa
 
Back
Top Bottom