Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,924
- 24,745
Ufaransa wana ujanja sana wa kupata kombe la dunia kupitia uraia pacha. Tungekuwa na uraia pacha Tanzania, wachezaji kama Diarra, Azizi Ki, Mayele, Prince Dube, Chama na wengineo wangeshachukuan uraia wa Tanzania na kuichezea Tanzania huku pia wakilinda uraia wa walikozaliwa
View: https://www.youtube.com/shorts/4Y7wOlZ0mdo
View: https://www.youtube.com/shorts/4Y7wOlZ0mdo