christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 3,297
- 5,412
Nani kawaambia washindwe kumzuia Mess asifunge na kutoa assist? Kuna goli la penalt pale? Kwa hii midomo yenu ndio maana Mess huwa anakosa penalt makusudi ili afunge magoli ya kawaida maana anaijua midom yenu.Kubebwa kuna weza kuathiri maamuzi ndani ya uwanja kisaikolojia na ukaruhusu magoli
Acha porojoKatika mashindano yote yaliyowakutanisha Messi na Ronaldo. Messi anashikilia rekodi ya kupiga penalti nyingi.
Laliga, Messi amepiga penati nyingi kuliko Ronaldo.
UEFA, Messi amepiga penalti nyingi kuliko Ronaldo.
World Cup, Messi anaongoza kwa kupiga penalti nyingi.
Hizi ni stats ambazo huwezi kuona mashabiki wa Messi wakiziongea
Whatever!!!!Yagangwe yajayo wakati andunje anaenda kuchukua ndoo
Tushawakela sana, so wanatuvizia tuanguke waanze mashambuliziโฆ๐๐๐๐Mtani namuwaza tu rafiki yangu Greatest Of All Time atazuiaje mashambulizi. ๐
Au ndo atatokomea kusikojulikana. ๐
Mkuu mimi sina shida na Argentina sana naogopa tu kwamba ikitoka nitapata shida kwa ajili ya masahbiki wa Ronaldo, Ila shida ipo Spain ikitolewa Daah. Natamani sana fainali spain ifike shida anakutana na France very soonDa vinci nilikusahau na wewe hivi itakuwaje siku Argentina akitoka.
Mana nyie ndo wasemaji mi nawasindikiza. ๐
Iko wazi Argentina ni timu ya mbeleko ipo wazi ni kama fifa wanataka wa win hili kombe back to back
Kesho mtamsahau mbape wenu, atalia kama mtoto na kumfuata idol wake ๐
Siwezi kushangaa.Kesho mtamsahau mbape wenu, atalia kama mtoto na kumfuata idol wake ๐
Morocco ๐ฒ๐ฆ๐ช๐ฝ๐ช๐ฝ
Mpaka sasa timu zangu zote zmetinga robo final
Argentina ๐ฆ๐ท๐ฆ๐ทโ โ โ โ โ โ โ
Morocco ๐ฒ๐ฆโ โ โ
Spain ๐ช๐ธ โ โ
Kila lakheri kwao
Mmeanza, kwahiyo ikitokea ufaransa akishinda mtasema nini? Ikitokea morocco ameshinda means amebebwa! ๐๐ kazi kweli kweli
Dalili ya mvua ni mawingu.Mmeanza, kwahiyo ikitokea ufaransa akishinda mtasema nini? Ikitokea morocco ameshinda means amebebwa! ๐๐ kazi kweli kweli
๐๐๐hisia zitawatesa sanaHuwezi ku rule out kuwa kulikuwa na foul kwenye build up kuelekea goli la 3 La team fifa, wanabebwa sana hiyo ipo wazi
We jamaa mambo ya utakatishaji pesa sisi hayatuhusu, furaha yetu ipo ndani ya dk 90,Dalili ya mvua ni mawingu.
Tushaona upendeleo waliofanyiwa Argentina kwa maamuzi yaliyoinyonga Egypt.
Tumeona jinsi Rais wa FIFA akiweka wazi hisia zake kwa Argentina.
Tumeona namna Rais wa FIFA alikasirika baada ya Egypt kufunga bao la pili (japo baadaye kwenye game ya Colombia alionekana akishika bendera ya Egypt ili kuua soo ku clear tukio lake la kukasirika baada ya Egypt kufunga bao)
Tumeona jinsi Rais wa AFA ambaye saizi anakabiliwa na kashfa ya utakatishaji fedha wa zaidi ya dola milioni 57 akiwa yupo kwenye uchunguzi chini ya FBI.
Na mbaya zaidi tumeona jinsi Raisi huyo wa AFA bwana Claudio Chiqui Tapia akikumbatiana na Raisi wa FIFA Gianni Infantino kwa furaha ya kushangilia bao la tatu la Argentina.
Haya matukio yote yanakufikisha kwenye hitimisho moja, there's something fishy going on in this tournament
๐๐๐hisia zitakumaliza we mtuKatika historia ya kombe la dunia hakujawahi kutokea mechi ikapangiwa waamuzi wote kutoka nchi moja.
Kwa mara ya kwanza tangu mashindano haya yaanze mwaka 1930, mechi kati ya France Vs Morocco itasimamiwa na waamuzi kutoka taifa moja.
Hao waamuzi ni raia wa nchi gani? Jibu rahisi tu, wote wanatokea Argentina.
Another rigged tournament.
View attachment 3624725
Hahahaa! Mi niko nyuma yako Mtani.Tushawakela sana, so wanatuvizia tuanguke waanze mashambuliziโฆ๐๐๐๐
Tutadili nao kiulalo ulalo