Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,368
- 10,381
Mbappe
Sijamaanisha kusahau kwamba sikumbuki kitu nazungumzia maumivu🤣Ishu ya kufungwa sio mmesahau Big
Sasa kupaniki kunahusiana vipi na hiyo picha?Mkuu shida nini mbona kama umepaniki?
Hayo yameshapita vumilia tu mbona sisi jana Yanga tulifungwa na tumeshasahau
Leo hulali unatafuta furaha🤣🤣Sasa kupaniki kunahusiana vipi na hiyo picha?
Hapo sijamgusa Pessi lakini unasema nimepaniki. How?
Hapana kuna Kane na mwenzie HaalandHaya ni mashindano ya Messi na Mbappe
Wengine ni kama wasindikizaji😂
Kumbe hii kitu ipo serious hivi Hadi watu wanakosa furaha wanashindwa kulala
Huko ulipo kuna watu wanakosa kulala?Kumbe hii kitu ipo serious hivi Hadi watu wanakosa furaha wanashindwa kulala
Yule mwingine vp kutokea kule wanakolima korosho?Hapana kuna Kane na mwenzie Haaland
Ingekuwa Bernabeu ungefungwa juuHuu uwanja watu wa jukwaani wanalowa et heeee!
Wachezaji kulowa sawa,sasa inakuwaje watu wa majukwaani,utadhani sio US?Ingekuwa Bernabeu ungefungwa juu
Mvua ni kubwa sana hii
Jf ndio wapo wengHuko ulipo kuna watu wanakosa kulala?