2026 FIFA World Cup - Special Thread

Sawa mzee , nimekuelewa... sasa umeelewa kati yako na Machiavelli nani ni psychopath Da'Vinci
 
Mkuu unanihukumu bure, nime judge tokana na nilichokiona, nina masikio mawili na macho mawili.. No hard feelings..
 
Mimi mwenyewe ni shabiki wa Argentina, na nitafurahi endapo tukipiga back to back 🏆 ila nikuombe tu acha udini na ubaguzi, najua huwapendi kwa sababu ni waarabu pia ni waislamu. Au nisivyo???
Oyaaa wew mtoto acha kutuharibia uzi na mambo yako ya kidini. Mwenzako ame comment vizuri tu kuhusu mpira wewe unaingiza udini.
 
Katika historia ya kombe la dunia hakujawahi kutokea mechi ikapangiwa waamuzi wote kutoka nchi moja.

Kwa mara ya kwanza tangu mashindano haya yaanze mwaka 1930, mechi kati ya France Vs Morocco itasimamiwa na waamuzi kutoka taifa moja.

Hao waamuzi ni raia wa nchi gani? Jibu rahisi tu, wote wanatokea Argentina.

Another rigged tournament.
 
Fifa wanalao jambo na hawa Argentina
 
Point yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…