2026 FIFA World Cup - Special Thread

Ulimwengu wote sasa umeanza kutambua, haiwezi kuwa bahati mbaya mchezaji ambaye anasemwa kuwa sio GOAT ndio awe mchezaji mwenye influence zaidi duniani kuliko kiumbe yeyote.

Hii ni kumaanisha ulimwengu unafahamu vya kutosha kuhusu fraud za kumtengenezea mtu mazingira ya kumrahisishia.

Unaweza kuharibu World Cup au Ballon Dor lakini hakuna mtu timamu atayeweza kutambua hizo prizes kama ni mafanikio halisi.

 
πŸ˜€πŸ˜€ wewe kucheka bado saaana Mkuu na hautakuja kucheka .

Wewe pamoja na Babu yako Cr7.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…