2026 FIFA World Cup - Special Thread

Hahahaaa. Mtani siku zote mpira hauna mwenyewe hivyo wapinzani (Misri) wakubali tu kuwa mpira umedundikia Argentina leo.

Na kwa timu zetu za Africa haya tuliyatarajia mapema ilikuwa ni suala la muda tu.
Ahsante sana mtani. Sasa unaweza kupumzika mtani kwa vifijo, furaha na nderemo. 🔥🔥
 
Build up ya goli la tatu kulikuwa kuna faulu ilichezwa ila refa alipeta ni kama walivyolikataa lile la misri baada ya kutokea rabsha kwenye build up ile refa aliiona ila kwa hii ya Argentina refa alijidai hakuona
Acheni visingizio.

Misri ilikuwa inaongoza 2-0 huku zikiwa zimebaki dakika chini ya 10 mpira uishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…