Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,130
- 132,159
FIFA PrincessMi VAR tena
FIFA PrincessMi VAR tena
Nilikuwa nakusoma hapo juu hadi huruma. 🤣🤣Wachawi hiii👋👋👋
😃😃😃
Wanatuhuzunisha sana
Leo siowaoni vibenteni vya ufaransa naona tu nyumba ndogo za CR7😃😃😃
Wanatuhuzunisha sana
Amtoe nani sasa mkuu. Sio kila ubovu jibu lake ni sub. Egypt siwadai hawajakosa clear chance yeyote, hawajapaki basi, hawajaacha kushambulia.Likocha la misri halifanyi subs.
Tukutane ½Tulia kijana mi nashabikiwa wanaume 🔥🔥🔥
Na Kumaintain ngumu sanaHilo ni tatizo...
Alizuia camera zisiwe zinamfuata maana anakuwa exposed sana na ushabiki wakeFifa president leo sijamuona au hayupo?
Tulia kwanzaTukutane ½
A very BIG POINT, nilikuwa nabishana na washkaji hapa, ukibaki kuzuia utafungwa TU au utasababisha fouls za kufungwaHuwezi kucheza mchezo wa kujilinda tu bila kushambulia halafu utegemee ushindi.
Ulinzi mzuri ni mashambulizi makali.
Timu za Kiafrika hazilijui hilo.