Wala mimi sio CR7 team, mimi na waarabu Egypt na morocco hakuna la kuishauri.
PoleI was here supporting EGYPT mwamwi imetolewaaaaa !!!!
Tukutane saa tano
🤣Nipo kaka nasubiri misri wasawazishiwe Nyani Ngabu atoke mafichoni aanze kutukana waafrika.
For for😀😀😀Africa is not for beginner
Ataitoa tu subiri uone, hiyo Argentina tia maji tia maji ikukutana na France tena lazima wapasuke kikatili sanaMpaka amtoe Morocco 😂😂
Nyani kama nyani
Yaani🙆♂️🙆♂️🙆♂️Ningeweka wapi sura yangu leo,
Asante LEO MESSI
Vamos ARGENTINA.
Me magoal ya mwanzo nakuwa sishangilii sanaSmart911 muhenga alosema kutangulia si kufika hakukoseaaa
Unafaa sana kuuguza mgonjwa,unatoa matumaini hata pasipokua na matumaini.Hii Argentina tia maji tia maji haifiki fainali
Hadi huruma, nilitaka waarabu tufike mbali sana japo hadi matumaini kwa morocco siyaoni tenaMeza panado
Usishangae ikachukua ubingwa 'back to back'...😃😃😃Hii Argentina tia maji tia maji haifiki fainali
VAR ifutwe!Waige Morocco ...peleka moto motoni..unashinda goli 2 unaanza kukaa nyuma..then usubilie refa ..refa😀😀na kuna VAR..Ukiwa Africa changamka😀
AstakafirullahHadi huruma, nilitaka waarabu tufike mbali sana japo hadi matumaini kwa morocco siyaoni tena