adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,629
- 7,846
Saba saba😀😀kama hawa wasenge
taifa stars watakua kina nni😁
Saba saba😀😀kama hawa wasenge
taifa stars watakua kina nni😁
Usenge upi tenaHuu ni usengee
Imagine 🤣🤣Kwahyo mnadhani hilo goli litafutwa kwa VAR 😂😂
Argentina hao wanapepea...Huu ni usengee
Kwanini mkuuArgentina wakabidhiwe kombe tu hamna timu itawafunga hawa 😀
Kwahyo mnadhani hilo goli litafutwa kwa VAR 😂😂
Nimesema hapa hata dk 6 hazijaishaKama kuna mtu anadhani hii ngoma argentina ataipeleka extra , naomba aamke kutoka usingizini
Watu hili hawalisemi wamekazania tu timu za Afrika kwasababu kuna mchezaji wao favouriteMbeleko imekolea
NAOMBA NIWEKE KUMBUKUMBU wajukuu wa kikongwe Ronaldo mnatabia ya kusahauMESSI 🐐 above all
Leo anakojolea kimoja tu 🤣 wajukuu wa cr7 visukari vipande
Mkuu tupo wote toka day one..hawa Misri ni kimaRefa amedhihirisha mahaba yake
Sasa kwanini asingepiga krosi ukizingatia walikuwa na no nzuri kwenye boksi.Ndio uwezo. Sio kwamba kachoma. Egypt huwa wanachoka mwishoni kama timu nyingi za Afrika. Kila mtu kachoka hapo.