Kubwjing
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 2,826
- 5,059
A very BIG POINT, nilikuwa nabishana na washkaji hapa, ukibaki kuzuia utafungwa TU au utasababisha fouls za kufungwaHuwezi kucheza mchezo wa kujilinda tu bila kushambulia halafu utegemee ushindi.
Ulinzi mzuri ni mashambulizi makali.
Timu za Kiafrika hazilijui hilo.
Egypt walipaswa waache washambuliaji watatu au wanne kule mbele ili Argentina wasijae golini kwao