Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
VAR wameiokoa Argentina tena
Wamewanyima goli
Wakifanya dhuruma hawatoboiWanataka kuwanyima
Wape GOLI wewe unaruhusiwaMbona wao alimsukuma wa misrii mmmxxxxxiiuewwwwwwww
Usikute na yeye amebet Argentina washinde 😂Refa amekimbilia kwenye var kabla hajaitwa 😀😀😀
Saana. Wanatuweka sote roho juuKupaki basi ni risk sana