Wajishikilie sasa…hii ndio Argentina mtaniHaya sasa Mtani fujo zianze. 🤣🤣🤣
Mkuu hapana..upuuz huuAfrica Kuna laana gana
Basi tufanye mafarao wana 3
Ngoja tusawazishe tuwapige bomba 4
Tulia kijana mi nashabikia wanaume 🔥🔥🔥Binti rudi kapike mandazi mechi ngumu hii
Kwa kweeli. 💪Wajishikilie sasa…hii ndio Argentina mtani
Km hao wambie kitu kmekua kigumuWatangazj wa Azam wanasema misri imemtoa Argentina wakati mpira haujaisha, huku wakinogesha na maneno ya kiarabu
Sijui hata mwisho utakuaje ila nimekatika Sana kwa hilo pigoDuh!... hatari sana
Daah😂😂😂 ngoja niseme kwa MessiMgumba kapata mimba… mate mji mzima 😂
Hapana Wamefanya mabadiliko timu ikawa dhaifuWanazingua nini?
Hamna sehemu wamekosea, ndio mida ya Waafrika hii kufungwa.
Egypt wamtegemee Salah naye afunge. Kila timu itumie star wake. Hassan kutolewa nje ilikuwa hasara kwa Egypt.