Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,024
- 125,996
Haya sasa Mtani fujo zianze. 🤣🤣🤣Messi🥶🥶
Haya sasa Mtani fujo zianze. 🤣🤣🤣Messi🥶🥶
Hatari huyu 'jamaa'....Gooooal Messi
Ndiocomrade_kipepe naona bibi yako kavaa jezi ya Argentina na kucheki hii mechi akiwa kakalia dishi la azam.
Imeshindikana tenaNi nadra sana timu za Africa kutamba mbele ya Argentina kwenye World Cup tangu Cameroon ya 1990..
Huenda Leo ikawa historia mpya...
Nawewe unataka kubebwa?Argentina refa anawabeba
Asikimbie mtu qmamakeMisriiii jamaniiiii why kwaniiiiiniiiiiii
Waje shenziiiii zao Messi 🔥🔥Mje sasa wajinga nyie😂😂
Duh!... hatari sanaImeshindikana tena
Wanazingua nini?Egypt wanazingua sasa