2026 FIFA World Cup - Special Thread

Mechi zote walizokutana, Man of the match alikuwa Nuno Mendez

Mapenzi yasikufanye ushindwe kuuona huu ukweli.
ukweli upi nmeukataa hapo..?
Hakuna asiyejua ubora wa Nuno, na pia hakuna asiyejua ubora wa Yamal, s8 mchezo kazi ya watu watatu mpaka wanne ikafanywa na mtu mmoja tena kikamilifu👐👐
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…