2026 FIFA World Cup - Special Thread

WC si kipimo cha mchezaji kuwa GOAT! bali mafanikio binafsi ya mchezaji na mchango wake katika football vinamfanya awe GOAT, CR7 anastahili kuwa GOAT hata kama hajachukua WC.
Leo hii mmebadilika 😄😄😄

Wakati Messi Hana WC mlikuwa mnasema Messi Hana hadhi ya kuwa Goat , mwanaume akapambana mpaka wakatwaa WC but Leo hii baada ya kuona cr7 kafeli kupata WC now mmekuja na hivi visingizio Binaadamu bhana 🙌
 
Ukitaka kujua umuhimu wa WC kwa CR7 angalia alivyokua analia baada ya kutolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…