Lower your expectationsWakuu naombeni sana mniombee siku ya leo, sijui nitakua na hali gani Spain akitoka. The night is long and full of terror
View attachment 3623912
HawatokiUreno wakitoka itakua poa sana
Wapili weweNuno Mendes kaWin Battle nyingi dhidi ya Yamal mpaka Yamal Leo anaonekana kama Buba tu .
Olise tu ndiye alimuweza Nuno kwenye UEFA games
Hata robo fainali ni fainali piaKati ya hao atakaepita anafika final
Ufaransa anamla kichwa ...😃😃Kati ya hao atakaepita anafika final