2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kwa akili yako hapa kwa chini chini ukute umeona namsema Ronaldo. Anaweza akafa yule ni mtu, sio timu. Unapeta ushabiki lialia wa mchezaji kwenye maslahi ya timu.

Uko obsessed nae hata mpira huoni kinachoendelea. Possession, shots on target, possible goals zote Spain inaonekana. Portugal haikai na mpira, haipangi mashambulizi ingawa inalinda vizuri.
Yote naona
 
Nipo kwa shemeji kagoma kulipia kinga'muzi napita na TBC tu , nimewakimbiza watoto sebuleni walikuwa wanacheki movie kwenye flash nikatumia udikteta kama Mbappe , bando langu nahifadhi kwa ajili ya kuStream mechi za night Kali nikiwa chumbani kwangu.

Kwenda front siwezi nalinda mbupu zangu kwanza kwa ajili ya manufaa ya baadae
Adris de mbusii toka hapo kwa dada ako shenziii🤣🤣
 
Nipo kwa shemeji kagoma kulipia kinga'muzi napita na TBC tu , nimewakimbiza watoto sebuleni walikuwa wanacheki movie kwenye flash nikatumia udikteta kama Mbappe , bando langu nahifadhi kwa ajili ya kuStream mechi za night Kali nikiwa chumbani kwangu.

Kwenda front siwezi nalinda mbupu zangu kwanza kwa ajili ya manufaa ya baadae
1783366844723.png
 
Watu ambao hawakuangalia final ya UEFA national League wanaweza kustuka na hii performance ya Spain.

Ambao hawakuangalia ile gemu wanaweza kuona Spain anafanya kitu kipya.

Mnamuona Mendez huko?
 
Back
Top Bottom