2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Portugal na Spain wanacheza kwa kujiogopa utadhani hawajui. France nao mechi iliyopita utadhani hawajui. Timu kubwa zinazocheza full mkoko kama Ujerumani huwa zinaondolewa kwa ghafla.

Argentina tu ndio naona hawachezi hivi, na mechi zao zinakuwa sensational na zenye magoli. Ngoja tuwaone kesho.
Argentina tunapiga back to back
 
Back
Top Bottom