Anzisheni timu yenu, kisha mumsajili Ronaldo wenu halafu huyo sasa ndio mumuweke benchi.Nakubalina na wewe mkuu
Mi natamani leo Ronaldo arudi nyumbani kupmzikaKwa kweli nipo Neutral kabisa.
Yoyote tu hapo apigwe.
Eeeh anaweza kabisa huyo babu ananizaa hadi mimiHivi umri wa Ronaldo si anaweza kabisa kuwa baba kwa lamine?
NGoja kwnzSisi kama Ureno tutaingia Kiparagwei na hatuogopi mtu.
⚰️
Bd sn game ina presha snUwanja umeinama
Huyu mzee akapmzike ajabu et lazima aanze😃 ashachoka mwanetu.
Anacheza na Watoto wa 18 na 19
Miguu ina mategeCanceloooo...
Hampi mpira Ronaldo
Napata shida sana na ushabiki wenu jana Mlimuona Halaand alivokuwa anacheza?Huyu mzee akapmzike ajabu et lazima aanze
Babu anakomaa. Anajaribu labda anaweza kubeba kombe mwaka huu astaafu kwa heshima.Eeeh anaweza kabisa huyo babu ananizaa hadi mimi