Funny boe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 3,326
- 7,369
Uwezo mkubwa Hakuna beki anaeweza kumkaba pale na sio kama hakabwiHawa Brasil bana Sasa jini kama Haaland wanaliachaje likae lenyewe!
Uwezo mkubwa Hakuna beki anaeweza kumkaba pale na sio kama hakabwiHawa Brasil bana Sasa jini kama Haaland wanaliachaje likae lenyewe!
Tunampaje mtu anayetunyima magoli ambayo ndio raha ya mpira...hapa ni halland tuu mwanawaneNimebadili mawazo Haaland atapewa kwa magoli yake
Anceloti hamna kocha mule kaka , zama na nyakati zao zishapita hana mbinu pia Brazil hana kitu😄Hamna timu imeshinda world cup na kocha wakigeni bwana.....na brazil kwa sasa hawana kizazi cha maana ndio ukweli.
Utalaumu kocha buree
Hata mi nawashangaa!Hawa Brasil bana Sasa jini kama Haaland wanaliachaje likae lenyewe!
Tena kama kuruka nae juu jamaa like ujipangeUwezo mkubwa Hakuna beki anaeweza kumkaba pale na sio kama hakabwi
Mdomoooo leo bia ina radha ya Pepsi ya motoWawekezaji 😁
Gilberto Silva unamjua kweli?Brazil gani bana ina wachezaji kutoka Aseno.
Utani tu MkuuGilberto Silva unamjua kweli?