2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Brasil wanaleta ujuaji uwanjani. Eti Haaland wanamuacha bure bure walau hata efforts za kumkaba man to man hawana.

Carlo analeta mpira wa kujiamini, mpira wa kucheza na wachezaji nyota tu ambao wanajituma bila kocha kutumia nguvu.
 
Back
Top Bottom