Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,248
- 144,305
Norway wanacheza bonge la soka leo. Mmeziona hizo gonga zao….
Alikuwa bado mtoto. Hawezi mjua “the invicible wall”Gilberto Silva unamjua kweli?
MiracleMi nilishasema wakamaria tafuteni kazi hata boda boda ya mkataba😁
Itakuwa game tamuNorway anaweza kutana na England Robo fainali
Anashangaza ulimwengu sanaNorway wanacheza bonge la soka leo. Mmeziona hizo gonga zao….
Bado utaona miujiza zaidiMiracle
Kuna wakamaria wanaua Brazil vizurrii tu mkuu, brazil toka mwanzo anaonekana hana Cha maanaMi nilishasema wakamaria tafuteni kazi hata boda boda ya mkataba😁
😂😂Game haina kadi kabisa