Ata ulaya vipaji vipo lakini wanatipita kuwa wana infrastruture ya kuendeleza hivyo vipaji.😂😂😂 yaani shule hazina madawati ila unataka ziwe na viwanja vya michezo hizi si ndoto kabisa.
Kuhusu vipaji , vipi vingi sana tu sema ndo ivo fursa hazipo na kama zipo basi rushwa au maelekezo yanakua mengi , kuna washikaji huko mashule tumesoma nao na walikua wanapiga ball vibaya sana saivi utakuta ni mafundi simu au waalimu wengine wachungaji😄.
Africa inafurahisha sana yaani mtu aliyepaswa kuwa labda mwalimu saivi ni fundi ujenzi na fundi ujenzi utakuta ni mwalimu😄
Kukosa madawa sii ungese wetu wenye wakujitakia