Match ya morroco nilicheka sana yaani vini anapata mpira yeye anawaza kukimbizanaBrazil kagoma kubadilika, alitakiwa apate kocha wa kisasa, yeye anategemea kukimbiza mawinga tuu katikati hamna kitu
💯%.Tofauti ya striker na ng'ombe za senegal
Exactly!Haaland anaachiwa uhuru vile mnategemea nini?
Sijalala mkuu. Nashuhudia goal la pili hapaHukulala tena eeh