comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,129
- 16,144
Jamaa linafunga halafu halishangilii, aisee jamaa kama jini kweli
Hawa Brasil bana Sasa jini kama Haaland wanaliachaje likae lenyewe!Nimewaambia…..Haaland akigusa tu mpira ni majanga 🤣
Kuimba kupokezanaLeo Brazil kesho Ureno zamu yao😂😂
Ni kipigo tu hakuna namna.Haaland anaachiwa uhuru vile mnategemea nini?
Shabiki tia majiSijalala mkuu. Nashuhudia goal la pili hapa
Halafu jamaa ana dharau nyingi sanaJamaa linafunga halafu halishangilii, aisee jamaa kama jini kweli
Nimebadili mawazo Haaland atapewa kwa magoli yakeBila kujali matokeo yataishaje, huyu nyanda wa Norway anastahili tuzo ya mchezaji bora wa mechi
Wajilaumu ila huyu kipa wa norway nae noma leo katoa michomo minne ya maanaBrazil wamekosa nafasi nyingi sana za wazi ikiwemo penat