Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,865
- 141,395
Haaland…….yaani akigusa tu mpira ni hatari.
Silali buana, si unaona tumepata goalPole, nenda ukalale.
Na nafikiri hiyo ndo shot on target yake ya kwanza kwa alivyokabwa leoHaaland…….yaani akigusa tu mpira ni hatari.
Kocha wao huyo ndio alivyo, kocha wa kizaman na Brazil wanacheza kizaman sanaSijawahi kukubali mchezo wa kukaa nyuma. Brazil watoke tu
dakika mbna bado nyingi tuHii Brazil Ndio imetoka hivyo
DaaahKuna England na Mexico saa tisa