HakikaKwa Tz zife kwanza Simba na Yanga
Binafsi namuona mzito sana akiwa na mpira, back passes nyingi. Sidhani kama coach atamtoa huyu jamaa..Sahihi kabisa.
Lakini kocha atakuwa ameshaona
😂😂😂 yaani shule hazina madawati ila unataka ziwe na viwanja vya michezo hizi si ndoto kabisa.Tuache kutumia matako kufikiri.....
Kila shule hamna kupata usajiri mpaka uwe na viwanja vga michezo yote.
Pili hamna mtoto yoyote yule awe la saba form 4 au form 6 kupewa cheti kama hajamaliza masaa kazaa ya michezo ili kukamilisha matakwa ya kupata cheti. Hapo lazima utapata wachezaji wanaojielewa