Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,530
- 61,938
Atakuja kuzikumbuka baadaeUmeona eeh...
Haoni thamani ya nafasi anayopata
Atakuja kuzikumbuka baadaeUmeona eeh...
Haoni thamani ya nafasi anayopata
😂😂😂 yaani shule hazina madawati ila unataka ziwe na viwanja vya michezo hizi si ndoto kabisa.
Kuhusu vipaji , vipi vingi sana tu sema ndo ivo fursa hazipo na kama zipo basi rushwa au maelekezo yanakua mengi , kuna washikaji huko mashule tumesoma nao na walikua wanapiga ball vibaya sana saivi utakuta ni mafundi simu au waalimu wengine wachungaji😄.
Africa inafurahisha sana yaani mtu aliyepaswa kuwa labda mwalimu saivi ni fundi ujenzi na fundi ujenzi utakuta ni mwalimu😄
Wapigwe tu ili tuwahi kulala kesho tuwahi vibaruaniSema Hawa Brasil wakipigwa kimoja imeisha
NdioUnashabikia Norway?